Pages - Menu

Sunday, April 19, 2015

Kilimo cha Matikiti maji aina ya Sugar Baby


Mahitaji
Shamba la eka 5
Mbegu
Gharama za uendeshaji wa shamba

Matikiti maji aina ya Sugar baby yanachukua siku 60 toka kupandwa hadi kuvuna na kwa mwaka unaweza kulima mara 4 .

Nafasi ya shimbo moja kwenda lingine  ni 2mx2m na kila shimo unatakiwa kuweka  mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2 - 3  ambayo wakati wa mavuno hukupatia matunda 4 - 6

Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200

Idadi ya matunda 
Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari 1,000 x 5 x 5 = 25,000

Mapato
Wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 25,000 x 500 = 12,500,000

Mapato kwa mwaka
12,500,000 x 4 = 50,000,000

Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000

Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 M.

6 comments:

  1. Napenda kufahamu mahitaji ya hali ya hewa ambayo yanawezesha matikiti maji kustawi vizuri

    ReplyDelete
  2. Yanahitaji maeno yenye joto angalau 25 mpaka 30 centigrade

    ReplyDelete
  3. Nimeipenda sana maada ya kilimo kwa elimishana wadau tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. hali ya hewa ya iringa kilimo cha matikiti chaweza kufaa?

    ReplyDelete
  5. hali ya hewa ya iringa kilimo cha matikiti chaweza kufaa?

    ReplyDelete