Shamba la eka 5
Mbegu
Gharama za uendeshaji wa shamba
Matikiti maji aina ya Sugar baby yanachukua siku 60 toka kupandwa hadi kuvuna na kwa mwaka unaweza kulima mara 4 .
Nafasi ya shimbo moja kwenda lingine ni 2mx2m na kila shimo unatakiwa kuweka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2 - 3 ambayo wakati wa mavuno hukupatia matunda 4 - 6
Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200
Idadi ya matunda
Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari 1,000 x 5 x 5 = 25,000
Mapato
Wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 25,000 x 500 = 12,500,000
Mapato kwa mwaka
12,500,000 x 4 = 50,000,000
Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000
Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 M.
Napenda kufahamu mahitaji ya hali ya hewa ambayo yanawezesha matikiti maji kustawi vizuri
ReplyDeleteYanahitaji maeno yenye joto angalau 25 mpaka 30 centigrade
ReplyDelete22°c mpka 28°c
ReplyDeleteNimeipenda sana maada ya kilimo kwa elimishana wadau tupo pamoja
ReplyDeletehali ya hewa ya iringa kilimo cha matikiti chaweza kufaa?
ReplyDeletehali ya hewa ya iringa kilimo cha matikiti chaweza kufaa?
ReplyDelete